interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AbeeeeMaombi usiku then Amen asubuhi [emoji134][emoji134]
Hii inji inahitaji watu kama wewe ( in Mremas voice)
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
mwenye kisu kikali ndiye mla nyamaNa wanawake mnafahamu fika hili huwa linatuuma zaidi ya kuuma. Daby unajitutumua kuomba kila siku na vizawadi vyako kila kukicha ila mwisho wa siku anapewa Asprin kiurahisi bila hata kutumia nguvu.
NB: mwanaume kama hili halijawahi kukuuma jichunguze.
sio ukali wa kisu tu..kuna baadhi ya wnaume hawajui kbs kutongoz ..yaan unaishia kucheka tumwenye kisu kikali ndiye mla nyama
Leo ni mara ya pili nakuomba unifundishe kutongozasio ukali wa kisu tu..kuna baadhi ya wnaume hawajui kbs kutongoz ..yaan unaishia kucheka tu
hahahaha...!
Kama kila unapoomba unapewa litakuuma je mkuuNa wanawake mnafahamu fika hili huwa linatuuma zaidi ya kuuma. Daby unajitutumua kuomba kila siku na vizawadi vyako kila kukicha ila mwisho wa siku anapewa Asprin kiurahisi bila hata kutumia nguvu.
NB: mwanaume kama hili halijawahi kukuuma jichunguze.
Haaaaa haaa daaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kila aombaye hupewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kila aombaye hupewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji24][emoji4] Umenikumbusha kuna demu nilikua najipendkz kwake hadi nikamnunilia viatu ambavyo siku anaenda kutiwa na lifala fulan hvi ndo alivivaa hivo viatu
Niliumia sana tena masela walivyo kua wananitania.Niliamua kuviiba hvo viatu kwake maana aliniudhi balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui nisemeje. inategemea lakini na mtu
Sema tu!!!sijui nisemeje. inategemea lakini na mtu
😂😂😂😂😂Sema tu!!!
Hutaki kusemea hapa...
Au ni somo refu linahitaji na chaki za ziada
Sent using Jamii Forums mobile app