Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamwene bwana
 
Na wanawake mnafahamu fika hili huwa linatuuma zaidi ya kuuma. Daby unajitutumua kuomba kila siku na vizawadi vyako kila kukicha ila mwisho wa siku anapewa Asprin kiurahisi bila hata kutumia nguvu.

NB: mwanaume kama hili halijawahi kukuuma jichunguze.
Sasa mimi nikipewa kuna ubaya gani? mi ni babu lazima nihurumiwe... Sina nguvu tena sio nyie mnafanya kama mnaranda mbao
 
Back
Top Bottom