Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Zinakwenda ziliko tokaJapo ni swali la kijinga ila naomba kujua.
Kinachosababisha mtu aonekane amenenepa ni mlundikano wa mafuta ,sasa yale mafuta yakichomwa/yakiyeyuka ndipo unapoonekana mwembamba na ndio maana inashauriwa kunywa maji ya uvugu vugu na kufanya mazoezi ili kuyeyusha hayo mafuta hatimaye uonekane mwembamba.Japo ni swali la kijinga ila naomba kujua.
Kinachosababisha mtu aonekane amenenepa ni mlundikano wa mafuta ,sasa yale mafuta yakichomwa/yakiyeyuka ndipo unapoonekana mwembamba na ndio maana inashauriwa kunywa maji ya uvugu vugu na kufanya mazoezi ili kuyeyusha hayo mafuta hatimaye uonekane mwembamba.
Kunenepa ni kuzidiwa mafuta,(fat) ukikonda means mafuta huchakatwa na kutumiwa na mwili katika kazi mbalimbali.
Ningekuwa na muda ningedadavua kitaalam zaid ila kwa kifupi elewa hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tudadavulie mkuuMpaka hapa mumesema uongo
Labda mutwambie process ya Cell division imestop na baadae kinachoendele ni Fat division.
Si kila anayenenepa kuwa Mafuta ndiyo yanayonenepa na kufanya mwili wako kuwa mimafuta mitupu.
Nadhani angaeuliza kuhusu Kitambi hapo mungekuwa sawa.
Zinazonenepa ni Muscles na sio mafuta
Zonashrink.Japo ni swali la kijinga ila naomba kujua.
Msalimie Daudi Kusekwa mkuu.Kunenepa ni kuzidiwa mafuta,(fat) ukikonda means mafuta huchakatwa na kutumiwa na mwili katika kazi mbalimbali.
Ningekuwa na muda ningedadavua kitaalam zaid ila kwa kifupi elewa hivo
Sent using Jamii Forums mobile app