Unapokonda au kupunguza uzito zile nyama zinaenda wapi?

Swali linatakiwa kujibiwa kitaalamu lakini kwa kuwa umeona swali lako ni la kijinga ngoja nikujibu kijinga..
Zinaenda tumboni alafu unazikunya
 
Japo ni swali la kijinga ila naomba kujua.
Kinachosababisha mtu aonekane amenenepa ni mlundikano wa mafuta ,sasa yale mafuta yakichomwa/yakiyeyuka ndipo unapoonekana mwembamba na ndio maana inashauriwa kunywa maji ya uvugu vugu na kufanya mazoezi ili kuyeyusha hayo mafuta hatimaye uonekane mwembamba.
 
Kunenepa ni kuzidiwa mafuta,(fat) ukikonda means mafuta huchakatwa na kutumiwa na mwili katika kazi mbalimbali.

Ningekuwa na muda ningedadavua kitaalam zaid ila kwa kifupi elewa hivo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mpaka hapa mumesema uongo

Labda mutwambie process ya Cell division imestop na baadae kinachoendele ni Fat division.

Si kila anayenenepa kuwa Mafuta ndiyo yanayonenepa na kufanya mwili wako kuwa mimafuta mitupu.
Nadhani angaeuliza kuhusu Kitambi hapo mungekuwa sawa.

Zinazonenepa ni Muscles na sio mafuta
 
Tudadavulie mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom