Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ingawa WHO waliweka alcohol guidelines kuwa units 21 kwa wiki kwa mwanaume, idadi ya watu wanaoathirika kwa kunywa pombe inaingezeka na serikali zinaishia kubeba gharama za matibabu.
2016 England Chief Medical Officer ameweka guidelines mpya za 14 units kwa mwanamke na mwanaume kwa wiki.
Hii inamaana:
Chupa 6 za bia kwa wiki, au glass 6 za wine sawa na chupa moja na nusu ya wine kwa wiki au 14 single shorts za spirit sawa na 7 double shorts
Katika hizi chupa 6 uwe na siku tatu za likizo ya pombe kwa wiki. Hata kama una uwezo wa kunywa kila siku jali ini lako.