Unapokutana na mpenzi wako, mpe yote!

Unapokutana na mpenzi wako, mpe yote!

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kumekuwa na tabia ya watu kujibana bana pale wanapokuwa kwenye mahusiano, au kwenye tendo la ndoa; na kupelekea upande mwingine kutokufurahia mahusiano yaliyopo.

Na hii inapelekea kuwa na migogoro mingi kwenye mahusiano, kama wapenzi kuachana, kupigana, kurushiana maneno n.k.

Kinachotakiwa kufanyika katika mapenzi ni kujitoa ufahamu ili uweze kufurahia uhusiano uliopo.

Unapokuwa kitandani jitahidi sana kujitoa ufahamu, weka aibu pembeni, na uumpe yote mpaka akinai, na atosheke.

Baada ya kufanya hivyo, utuletee mrejesho.

Naishia kusema: Mpe yote mpaka akinai​
 
Oya mnawatoaga wapi hawa?
Hamna anaepanga kua na shangazi pia usihangaike kutafuta we dili na mambo yako utakutana nao TU mfano Mimi:
Wa kwanza; alikua mwalimu wa shule secondary nlikuwa namsaidiaga kuandaa matokeo hakuwa mzoefu wa excel, akawa ananiunganisha na walimu wengn nawafanyia kazi wananilipa nkawa nampa commission kidogo aisee nkipewa 20000 Nampa hata 5000 hv aisee alikua anafurahi acha tu mwisho wa siku tukadate

Wa pili; mtendaji wa serikali ya mtaa

Wa tatu; nyumba za kupanga
 
Dah. Bora ayo hivi vimisukule hapana aisee.

Ngoja nianze jichanganya na mimi.
 
b7e79873-4e7a-49e9-9eec-d504b9a5d0ac.jpg
 
Back
Top Bottom