Unapokuwa faragha na watu hawa hakikisha unatumia kinga

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Mwenye simu kubwa ya macho matatu halafu hana kazi inayoeleweka. Acha ujinga vaa kondomu.

Mwenye kuchanganya lugha anavyoongea mara anapiga kiswahili anaingizia na kiingereza humohumo. Tumia kondomu mazee tutakupoteza.

Simu yake imejaa dating Apps. wew usijali hata kama dating App ni moja tu. Huyo ameshachangamka tayari.

Mwenye kuweka rangirangi kwenye nywele zake. Vaa aisee maana UTI ya sikuhizi ni kali.

Ameshazika wenza wake kadhaa au wachati zake kadhaa tena kwa ile mfyuufyu ya mfululizo. ukiendekeza nyege mshindo wewe ndo utaefatia. Vaa kinga.

Ananyoa upara kabisa au anaacha nywele ndefundefu za mduara "bambucha" au ananyoa panki. Hawa aisee ikiwezekana vaa kondomu mbili au tatu kabisa.

Anapenda kukesha Bar au sehemu za burudani na vigoma vya usiku wa manane.

Anapenda kucheza burudani za miziki minanda mchiriku, vigodoro na taarabu. Hawa vaa kondomu kuanzia tatu na ukitoka hapo kunywa kabisa Azithromycin aka Azuma maana lolote linaweza kutokea.

Amepanga Sinza au Tabata wakati kazi yake haieleweki. Vaa kondomu haraka, usitafute watu lawama.

Ana biashara ya kusafirisafiri mara kwa mara, mara unaskia yuko Morogoro mara sijui Mtera anachukua samaki mara sijui kafuata madera Dar mara yupo Nyamongo kule machimboni aisee we vaa kondomu, nyumbani unategemewa.

Anashinda kutwa kwenye saluni yoyote ile. Vaa kondomu wewe usijali iyo saluni ni ya kike au kiume.

Anakubali mpige gemu wakati unajua ana mtuwake. Vaa aisee vaa kondomu tena isiwe moja.

Anafanya kazi bar au sehemu za starehe au sehemu ya makutano ya watu wengi. Vaa kondomu wewe mwanao ndo kwanza anaingia darasa la pili.

Usiseme hukuambiwa.
 
- Mwenye simu kubwa ya macho matatu hlf hana kazi inayoeleweka. Acha ujinga vaa condom.

- Mwenye kuchanganya lugha anavyoongea. mara anapiga kiswahili anaingizia na kiingereza umoumo. Piga ndom mazee tutakupoteza.

- Simu yake imejaa dating Apps. wew usijali hata kama dating App ni moja tu. Huyo ameshachangamka tayari. Vaa ndom aisee.

- Mwenye kuweka rangirangi kwenye nywele zake. Vaa aisee maana UTI ya sikuhizi inaondoka kabisa na mb**.

- Ameshazika wenza wake kadhaa au wachati zake kadhaa tena kwa ile mfyuufyu ya mfululizo. ukiendekeza nyege mshindo wewe ndo utaefatia. Vaa ndom.

- Ananyoa upara kabisa au anaacha nywele ndefundefu za mduara "bambucha" au ananyoa panki. Hawa aisee ikiwezekana vaa condoms mbili au tatu kabisa.

- Anapenda kukesha bar au sehemu za burudani na vigoma vya usiku wa manane

- Anapenda kucheza burdan za miziki minanda mchiriku vigodoro taarabu. Hawa vaa condoms kuanzia tatu na ukitoka hapo kunywa kabisa azithromycin aka Azuma maana lolote linaweza kutokea.

- Amepanga sinza au tabata wkt kazi yake haieleweki. Vaa condoms haraka, usitafute watu lawama.

- Ana biashara ya kusafirisafiri mara kwa mara. mara unaskia yuko morogoro mara sijui mtera anachukua samaki mara sijui kafuata madera dar mara yupo nyamongo kule machimboni Aisee we vaa ndom, nyumbani unategemewa.

- Anashinda kutwa kwenye saluni yoyote ile. Vaa ndom wew usijali iyo saluni ni ya kike au kiume.

- Anakubali mpige gemu wakati unajua ana mtuwake. Vaa aisee vaa ndom tena isiwe moja.

- Anafanya kazi bar au sehemu za starehe au sehemu ya makutano ya watu wengi. Vaa ndom wew mwanao ndo kwanza anaingia darasa la pili.

Usiseme hukuambiwa.
Duuh
 
Mwenye simu kubwa ya macho matatu halafu hana kazi inayoeleweka. Acha ujinga vaa kondomu.

Mwenye kuchanganya lugha anavyoongea mara anapiga kiswahili anaingizia na kiingereza humohumo. Tumia kondomu mazee tutakupoteza.

Simu yake imejaa dating Apps. wew usijali hata kama dating App ni moja tu. Huyo ameshachangamka tayari.

Mwenye kuweka rangirangi kwenye nywele zake. Vaa aisee maana UTI ya sikuhizi ni kali.

Ameshazika wenza wake kadhaa au wachati zake kadhaa tena kwa ile mfyuufyu ya mfululizo. ukiendekeza nyege mshindo wewe ndo utaefatia. Vaa kinga.

Ananyoa upara kabisa au anaacha nywele ndefundefu za mduara "bambucha" au ananyoa panki. Hawa aisee ikiwezekana vaa kondomu mbili au tatu kabisa.

Anapenda kukesha Bar au sehemu za burudani na vigoma vya usiku wa manane.

Anapenda kucheza burudani za miziki minanda mchiriku, vigodoro na taarabu. Hawa vaa kondomu kuanzia tatu na ukitoka hapo kunywa kabisa Azithromycin aka Azuma maana lolote linaweza kutokea.

Amepanga Sinza au Tabata wakati kazi yake haieleweki. Vaa kondomu haraka, usitafute watu lawama.

Ana biashara ya kusafirisafiri mara kwa mara, mara unaskia yuko Morogoro mara sijui Mtera anachukua samaki mara sijui kafuata madera Dar mara yupo Nyamongo kule machimboni aisee we vaa kondomu, nyumbani unategemewa.

Anashinda kutwa kwenye saluni yoyote ile. Vaa kondomu wewe usijali iyo saluni ni ya kike au kiume.

Anakubali mpige gemu wakati unajua ana mtuwake. Vaa aisee vaa kondomu tena isiwe moja.

Anafanya kazi bar au sehemu za starehe au sehemu ya makutano ya watu wengi. Vaa kondomu wewe mwanao ndo kwanza anaingia darasa la pili.

Usiseme hukuambiwa.
😂😂😂😂😂
 
Kuna mtu alikuwa na 70% ya hapo juu na nikiuza mechi bila kinga.Dah?
 
Tunatumia mafuta ya nazi tu aka parachute
 
Back
Top Bottom