The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hebu fafanua hapo,tukipendwa vizuri huwa tunatulia 😂😂
Kupendwa vizuri ndio kukoje? yani ukifanyiwa nini ndio inatafsirika kua unapendwa vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu fafanua hapo,tukipendwa vizuri huwa tunatulia 😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndomaana sihami jFTafuta mshangazi wa haja utulie nae,
Hivi vitoto vitakutoa roho,
Mbona mishangazi wala haina shida,
Ndio nipo njiani naenda kula kwa mshangazi wangu kisha narudi tena kijiweni kubishana Simba na Yanga.
si akipewa vizawadi vikubwa na vidogo na kupetiwa kila siku au sio?Hebu fafanua hapo,
Kupendwa vizuri ndio kukoje? yani ukifanyiwa nini ndio inatafsirika kua unapendwa vizuri?
Mkuu,hawa viumbe hua hawaeleweki,si akipewa vizawadi vikubwa na vidogo na kupetiwa kila siku au sio?
[emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu,hawa viumbe hua hawaeleweki,
Unaweza ukamnunulia Gari ila akaja akaliwa na muosha magari.
😂😂😂😂unataka nijiongelee mimi au niongelee na wengineHebu fafanua hapo,
Kupendwa vizuri ndio kukoje? yani ukifanyiwa nini ndio inatafsirika kua unapendwa vizuri?
USIOE KAMA SIO BIKRAMwenye simu kubwa ya macho matatu halafu hana kazi inayoeleweka. Acha ujinga vaa kondomu.
Mwenye kuchanganya lugha anavyoongea mara anapiga kiswahili anaingizia na kiingereza humohumo. Tumia kondomu mazee tutakupoteza.
Simu yake imejaa dating Apps. wew usijali hata kama dating App ni moja tu. Huyo ameshachangamka tayari.
Mwenye kuweka rangirangi kwenye nywele zake. Vaa aisee maana UTI ya sikuhizi ni kali.
Ameshazika wenza wake kadhaa au wachati zake kadhaa tena kwa ile mfyuufyu ya mfululizo. ukiendekeza nyege mshindo wewe ndo utaefatia. Vaa kinga.
Ananyoa upara kabisa au anaacha nywele ndefundefu za mduara "bambucha" au ananyoa panki. Hawa aisee ikiwezekana vaa kondomu mbili au tatu kabisa.
Anapenda kukesha Bar au sehemu za burudani na vigoma vya usiku wa manane.
Anapenda kucheza burudani za miziki minanda mchiriku, vigodoro na taarabu. Hawa vaa kondomu kuanzia tatu na ukitoka hapo kunywa kabisa Azithromycin aka Azuma maana lolote linaweza kutokea.
Amepanga Sinza au Tabata wakati kazi yake haieleweki. Vaa kondomu haraka, usitafute watu lawama.
Ana biashara ya kusafirisafiri mara kwa mara, mara unaskia yuko Morogoro mara sijui Mtera anachukua samaki mara sijui kafuata madera Dar mara yupo Nyamongo kule machimboni aisee we vaa kondomu, nyumbani unategemewa.
Anashinda kutwa kwenye saluni yoyote ile. Vaa kondomu wewe usijali iyo saluni ni ya kike au kiume.
Anakubali mpige gemu wakati unajua ana mtuwake. Vaa aisee vaa kondomu tena isiwe moja.
Anafanya kazi bar au sehemu za starehe au sehemu ya makutano ya watu wengi. Vaa kondomu wewe mwanao ndo kwanza anaingia darasa la pili.
Usiseme hukuambiwa.
huyo mmoja mwaminifu ndo hakuna mkuuyote hayo ya kazi gani si mtulize hizo vikojoleo zenu tafuta manzi yako 1 uishi nayo
Sio issue ya kuamini,😂😂😂😂unataka nijiongelee mimi au niongelee na wengine
hapo ni full package kuna kila kitu 😂 kama huamini muulize mpenzi wako au mkeo ili uone unapendwa vizuri au nakupenda vizuri nifanyeje utapata majibu🌚
wapo labda hujabahatika tuhuyo mmoja mwaminifu ndo hakuna mkuu
ukitoka naye anatoka
exactly kila mtu ana maana yake ndo maanna nikasema “tukipendwa vizuri” means mpende vizuri (elewa kumpenda vizuri ni kumfanyeje) manzi wako uone kama hajakaaa ila yangu usitake kuijuaSio issue ya kuamini,
Nataka ujiongelee wewe coz wewe ndio umesema,
Halafu issue au tafsiri ya ''Kupendwa vizuri'' haiwezi kua na tafsiri/maana moja kwa wanawake wote.
Oya! Kuna uzi mtu alianzisha anataka ufe.Uzi ufungwee!!
Wala sihitaji kuyajua yako coz hayawezi kua na faida yeyote kwangu na wala sihitaji kuyajua,exactly kila mtu ana maana yake ndo maanna nikasema “tukipendwa vizuri” means mpende vizuri (elewa kumpenda vizuri ni kumfanyeje) manzi wako uone kama hajakaaa ila yangu usitake kuijua
Mbunye ikinyonywa vzr wanatulia boss.Hebu fafanua hapo,
Kupendwa vizuri ndio kukoje? yani ukifanyiwa nini ndio inatafsirika kua unapendwa vizuri?
heeeeeeAnanyoa upara kabisa au anaacha nywele ndefundefu za mduara "bambucha" au ananyoa panki. Hawa aisee ikiwezekana vaa kondomu mbili au tatu kabisa.
Nmeyabold Maneno hayo juu, Kwa sababu ni wachache wanayoyafaham.
HIV Positive wengi, akiwa Mwanamke au Mwanaume wako hivi...
Wale virusi na Dawa za Kufubaza Zina/wanakawaida ya kusababisha Matatizo ya Mishipa ya faham (Neuropathy). , Sasa hupelekea waanga Kuhisi kama Nywele ni Nzitoo kichwan, au kuhisi shoti ya Umeme iinawapiga kichwan.
Na Kwa hofu ya Nywele kuonekana Zimekosa Nuru na kuteleza.
1//// Wengi huamua Kunyoa Vipara hasa wanaume
2////Wanawake huamua Kunyoa Vipara au kua wavaaa mawigi .
3//// Au anyone Panki Kisha Aweke Brichi.
4///Au aweke Brichi nywele zote.
5//// Wanawake wengi hupenda kupakaa LIPSTICKS !!.