Unapokuwa mwanasiasa, jaribu kuwa mwangalifu kwenye mahusiano

Unapokuwa mwanasiasa, jaribu kuwa mwangalifu kwenye mahusiano

M'bongo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
265
Reaction score
302
Hii imetokea kwa mwanasiasa machachari na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mh. Zitto Kabwe baada ya kutokea sintofahamu kati yake na mpenzi wake Diva. Zitto alitoa kauli ya kukana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diva kwenye media. Diva naye ameamua kuweka hadharani mawasiliano ya email kuhusu mahusiano yao:

from zito.jpg
 
Hana mpya huyu mwanamke kwani kusema kua yuko na Zitto ndio nini? au ana hali gani? vyovyote itakavo kua yeye mwanamke heshima yake muhimu.........
 
inaweza ikawa photoshop vile vile.
 
Ha ha ha,,dah mbona hakuna picha hapo jomba

hizo attachment ni picha, weka mouse yako juu ya hiyo makitu utaona mwisho inaishiwa na "from zito.jpg" jpg maana yake ni picha.
 
Awe km mnyika, hatujui anatoka na nani?

Kuwa na mahusiano si tatizo as human being matamanio lazma ila sema demu mwenyewe aliyepoint sio, kaonesha ulijali wake maana mnamuonaga aunt social, ila yule dem mshamba sana akha sasa ili iweje kweli nimemzarau yaani yeye anaona dili kufanyika bure bure, inamaana hata huyo crazy GK anamuhesabia siku tu kikinuka anamtoa lkn pia mbona wengi wamepita awatoe basi kama akufikia mia 120 wengine tuache midomo wazi ambao hatukuwazania.
 
Back
Top Bottom