Unapokuwa umepata mkopo 100% inakuwa na maana gani?

Yaani ina maana muda si mrefu baada ya kumaliza masomo, utatambulika kama mdaiwa sugu
 
Sasa heslb na jkt vina uhusiano gani?
Maana hakuna sehemu kwenye kuapply heslb utaeka cheti cha jeshi
Mtu asikutishe ,mkopo asilimia 100 % ni kwamba umepata kila k2 stationary, ulemavu n.k
Hii uwe na connection tyuu mzee na vyeti vya kifo
Unaweza ukawa na iyo konnection ya mkopo heslb?
 
Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani?

Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
Asilimia mia moja maana yake utalipiwa ada ya chuo yote.

Hata hivyo HESLB mwisho wao kulipa ni 3M TZS

Endapo utakkuwa na ada zaidi ya 3M utatakiwa kuongeza ada licha ya kulipiwa 100%

Mfano Kuna vyuo ambavyo aaada ya udaktari ni 6M+

Hapo utalipiwa 3M tu huku 3M utaongeza mwenyewe.

Nadhani ukiachana na vyuo vya Afya private, program nyingi ni chini ya 2M hivyo unalipiwa yote
 
Kwa ad

Kwa ada ya nursing na radiology vyuo vya serikali ada nikama shingapi kaka
 
Asilimia mia moja maana yake utalipiwa ada ya chuo yote.

Hata hivyo HESLB mwisho wao kulipa ni 3M TZS

Endapo utakkuwa na ada zaidi ya 3M utatakiwa kuongeza ada licha ya kulipiwa 100%

Mfano Kuna vyuo ambavyo aaada ya udaktari ni 6M+

Hapo utalipiwa 3M tu huku 3M utaongeza mwenyewe.

Nadhani ukiachana na vyuo vya Afya private, program nyingi ni chini ya 2M hivyo unalipiwa yote
Shukran kaka ila mfano ukipata 100% na ukapata kozi yenye ada ya 2M kwa iyo 1M iliyobak kufka 3M nayo utakwa unapewa au inakwaje kaka
 
Utalipiwa Ada kulingana na kiasi husika kinachotakiwa, Hawawezi kukuzidishia means kama umepata 100% na Ada ni 2M , utalipiwa 2M tu
 
Back
Top Bottom