Unapokuwa umepata mkopo 100% inakuwa na maana gani?

Unapokuwa umepata mkopo 100% inakuwa na maana gani?

Mdogo wangu kwenye account yake ya bodi ya mkopo kaandikoa total 3M na kuna mchanganuo hiyo ninmwaka wa kwanza au ni kwa semester? Naomba msaada
 
Kifupi ww maisha ushayapatia 100% means unalipiwa ada yote halaf bado utapewa ka laki 3 kwa kila mwezi ambayo iyo kwa huku mtaani n mshahara wa mtu huo ss huoni maisha umeyapatia kwa hali ya uchumi ya ss Tz hii
 
Back
Top Bottom