Hapo unakula bata tu chuoni sasa baada ya hapo ukimaliza chuo unaingia mtaani bata itaanza kukula wewe makato yake sio powa mpk utasema kwa nn nilichukua mkopo wa sirikaliHivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani?
Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
Mmm huo ushauri wako sidhani kama ni wa kiniadhamTafuta jimama likusaidie kula hiyo pesa
Sasa heslb na jkt vina uhusiano gani?Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani?
Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
Unaweza ukawa na iyo konnection ya mkopo heslb?Sasa heslb na jkt vina uhusiano gani?
Maana hakuna sehemu kwenye kuapply heslb utaeka cheti cha jeshi
Mtu asikutishe ,mkopo asilimia 100 % ni kwamba umepata kila k2 stationary, ulemavu n.k
Hii uwe na connection tyuu mzee na vyeti vya kifo
Asilimia mia moja maana yake utalipiwa ada ya chuo yote.Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani?
Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
Ndio nicheck pmUnaweza ukawa na iyo konnection ya mkopo heslb?
Sija kuelewa kakaNdio nicheck pm
Kwa ada ya nursing na radiology vyuo vya serikali ada nikama shingapi kakaAsilimia mia moja maana yake utalipiwa ada ya chuo yote.
Hata hivyo HESLB mwisho wao kulipa ni 3M TZS
Endapo utakkuwa na ada zaidi ya 3M utatakiwa kuongeza ada licha ya kulipiwa 100%
Mfano Kuna vyuo ambavyo aaada ya udaktari ni 6M+
Hapo utalipiwa 3M tu huku 3M utaongeza mwenyewe.
Nadhani ukiachana na vyuo vya Afya private, program nyingi ni chini ya 2M hivyo unalipiwa yote
Shukran kaka ila mfano ukipata 100% na ukapata kozi yenye ada ya 2M kwa iyo 1M iliyobak kufka 3M nayo utakwa unapewa au inakwaje kakaAsilimia mia moja maana yake utalipiwa ada ya chuo yote.
Hata hivyo HESLB mwisho wao kulipa ni 3M TZS
Endapo utakkuwa na ada zaidi ya 3M utatakiwa kuongeza ada licha ya kulipiwa 100%
Mfano Kuna vyuo ambavyo aaada ya udaktari ni 6M+
Hapo utalipiwa 3M tu huku 3M utaongeza mwenyewe.
Nadhani ukiachana na vyuo vya Afya private, program nyingi ni chini ya 2M hivyo unalipiwa yote
Utalipiwa Ada kulingana na kiasi husika kinachotakiwa, Hawawezi kukuzidishia means kama umepata 100% na Ada ni 2M , utalipiwa 2M tuShukran kaka ila mfano ukipata 100% na ukapata kozi yenye ada ya 2M kwa iyo 1M iliyobak kufka 3M nayo utakwa unapewa au inakwaje kaka
Mfano mtu mwenye 1.9 we unawez mshaul achukue koz zipi 3 kwa afya na vyuo vipi vya serikali vikuu 2024?Utalipiwa Ada kulingana na kiasi husika kinachotakiwa, Hawawezi kukuzidishia means kama umepata 100% na Ada ni 2M , utalipiwa 2M tu