magwamaka Senior Member Joined May 20, 2023 Posts 120 Reaction score 266 Oct 12, 2024 #21 Mdogo wangu kwenye account yake ya bodi ya mkopo kaandikoa total 3M na kuna mchanganuo hiyo ninmwaka wa kwanza au ni kwa semester? Naomba msaada
Mdogo wangu kwenye account yake ya bodi ya mkopo kaandikoa total 3M na kuna mchanganuo hiyo ninmwaka wa kwanza au ni kwa semester? Naomba msaada
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Oct 12, 2024 #22 icon_2000 said: Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani? Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Click to expand... Rudini shuleni jamani mkasoma
icon_2000 said: Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani? Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata? Click to expand... Rudini shuleni jamani mkasoma
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 1,048 Reaction score 2,449 Oct 12, 2024 #23 Kifupi ww maisha ushayapatia 100% means unalipiwa ada yote halaf bado utapewa ka laki 3 kwa kila mwezi ambayo iyo kwa huku mtaani n mshahara wa mtu huo ss huoni maisha umeyapatia kwa hali ya uchumi ya ss Tz hii
Kifupi ww maisha ushayapatia 100% means unalipiwa ada yote halaf bado utapewa ka laki 3 kwa kila mwezi ambayo iyo kwa huku mtaani n mshahara wa mtu huo ss huoni maisha umeyapatia kwa hali ya uchumi ya ss Tz hii