Unapokuwa unavaa, ni kitu gani cha kwanza kukivaa na kwanini?

Unapokuwa unavaa, ni kitu gani cha kwanza kukivaa na kwanini?

Tamati

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
1,085
Reaction score
1,960
Kila kitu huwa kinafanyika kwa sababu maalum

Unajibu gani kulingana na hii mada?

Tushirikishane
 
Inategemea unavaa baada ya kumaliza shughuli gani?

Baada ya kuoga, au asubuhi nikiamka miwani Kwanza.
Nyakati nyingine inategemea na mazingira, hata saa yaweza kuwa ya Kwanza.
 
Frustration hizi kuna cku nmetoka kukoga nna haraka nkajikuta nshajipiga raba yangu CONVERSE ALL STAR miwani na Saa bila ya kuvaa chochote ile nasimama kwenye kioo njieke vizuri duuh nlichoka nkaamua njipige na ka Selfie
 
Maswali mengine bana,,, kwani inawezekana kuvaa suruali kabla ya boxa mkuu?
 
Mada bwana we hujui tunaanza kuvaanini
 
Frustration hizi kuna cku nmetoka kukoga nna haraka nkajikuta nshajipiga raba yangu CONVERSE ALL STAR miwani na Saa bila ya kuvaa chochote ile nasimama kwenye kioo njieke vizuri duuh nlichoka nkaamua njipige na ka Selfie
Katupie humu mkuu
 
Back
Top Bottom