Kila kitu huwa kinafanyika kwa sababu maalum
Unajibu gani kulingana na hii mada?
Tushirikishane
La 7 hao, wanasubiria Form I selection!Vodacom kazi ni kwako!Thread nyingine bana!
Katupie humu mkuuFrustration hizi kuna cku nmetoka kukoga nna haraka nkajikuta nshajipiga raba yangu CONVERSE ALL STAR miwani na Saa bila ya kuvaa chochote ile nasimama kwenye kioo njieke vizuri duuh nlichoka nkaamua njipige na ka Selfie
Aisee!Naanza na viatu.