Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Watu wamekua na Tamaa sana, na Roho ya utapeli, usimuone mtu kama ni Muislamu/Mkristo ukajua moyo wake ni safi na atakua mkweli kwa kila jambo.
Dunia ya sasa watu wamekua sio waaminifu na inatakiwa kila unachokifnya kiwe na documet ya ushahidi ili kuepuka matatizo ya yatakayojitokeza mara baada ya huyo mtu mnaefanya kazi kukugeuka.
Unaweza kufanya kazi na mtu ukamuona ni mwema kwako ila siku akikuonyesha upande wake wa pili wa shilingi au Tabia ndo utajuta kwa nini mlifahamiana na huyo mtu.
Hata hizi Dini ambazo watu wajifanya kua ni wanadini, ni wanafiki tu. maana wamejaa uongo na matendo ya uovu uliojificha ktk kichaka cha Dini.
" Usimuamini Mtu KtK kazi"