Kazi mnayo. . .
Sim-block simu zao?!
smartphone zote zinasuppot applications za kublock calls kama black list,call manager etchebu tufundishe namna ya kublock.
hebu tufundishe namna ya kublock.
Unatumia simu ya aina gani?
Umewahi kukutana na mtu mkabadilishana namba za simu
ukajuuta?
asubuhi anapiga,mchana anapiga,jioni anapiga usiku anapiga...
usipokea anakuuliza why hukupokea as if ni lazima upokee
sms tele,ku beep ndo usiseme.......
imewahi kukutokea hiyo?
na akipiga hakuna la maana mnaloongea.......
anaweza kywa ni rafiki wa zamani,au mtu tu umekutana nae kiofisi au ki social hivi...
but full kero na simu.....
Siku hizi ndio maswali tunayoulizwa kwenye simu. Mtu anakuuliza mbona kimya? Kwa kifupi ni kero mtu anakublame eti hujapokea simu yake yeye anaona kama umedharau lakini hapana. Halafu huu mtindo upo kwa akina dada sana
smartphone zote zinasuppot applications za kublock calls kama black list,call manager etc
Kazi mnayo. . .
Sim-block simu zao?!
...ha hahaha...pole kaka....
janja ya hiyo kitu wewe mchunie tu bana...
ujinga gani huo wa mtu mzima kuulizwa ulizwa kwanini hupokei simu,
kwani yeye mke/mume bana? hata mke/mume akiuliza hivyo anatafuta kesi tu!
...as usual, mbu's been there and survived that torment.
nisipombock huyo mtu.....
Atue sitapokea simu yake na sitojibu msg zake (kwenye hili nina kipaji.)
kwanza hii ya culture ya watu kuamini kuwa akipiga simu yako lazima upokee
sijui imetoka wapi.....na halafu anakuuliza eti why hukupokea....dah....
nokia x3.