Unaponyang'anywa tonge mdomoni unajisikiaje?

Unaponyang'anywa tonge mdomoni unajisikiaje?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Tonge lipo mdomoni na pengine hata umeanza kulimega na kulitafuna polepole na pale anapozuka mtu kutoka kusikojulikana na kukunyang'anya unajisikiaje haswa pale ambapo unajaribu kuling'ang'ania lakini linateleza na mwingine kwa kasi ya ajabu analitumbukiza mdomoni kwake na kulimeza kwa mkupuo mmoja..............hata halitafuni........hivihivi na wewe unaona...................hivi unajisikiaje......unapigana............unatusi..........unajilaumu kwa nini ulichelea kulimeza?.........maana aliyelimeza anakutambia............kuwa ni uzembe wako.......kwa nini ulizubaa kulimeza ukabakia unalimega tonge la watu polepole..........huku ukidhani kwa vile unalimega ni la kwako.....yeye adai ana njaa na ndiyo maana hakulichelewesha...........akalimeza na huku hana mashaka ya tonge kumkwama kooni na hata kama likimkwama ni matunda ya kuzima kiu ya njaa kali aliyokuwa nayo......mezeni matonge yenu msije mkalizwa...................acheni kuahirisha maamuzi hadi siku mjanja akazuka na kukunyang'anya tonge lako..................lol.............na kukuachia maumivu yasiyo na tiba au hata kupoozwa..........

nasaha zenu zahitajika....
 
Kisicho riziki hakiliki, ndo maana unakula na kumeza, baada ya dakika 2 unatapika na njaa inarudi pale pale.
 
[h=2][/h]
Kisicho riziki hakiliki, ndo maana unakula na kumeza, baada ya dakika 2 unatapika na njaa inarudi pale pale.

kingekuwa siyo riziki ungelikuwa unakimega polepole...........lol
 
Mhhh Mkuu kuna matonge mengine hayamezeki kila ukijaribu kuliweka mdomoni linakataa so unashukuru hata akija mtu kulinyakua mkononi mwako unashukuru kuwa mzigo umeondoka
 
Mhhh Mkuu kuna matonge mengine hayamezeki kila ukijaribu kuliweka mdomoni linakataa so unashukuru hata akija mtu kulinyakua mkononi mwako unashukuru kuwa mzigo umeondoka

hayamezeki lakini yanafaa kumegwa tu......................ahaaaaaaaaaaa
 
Nikinyang'anywa nitashukuru tu, pengine hilo tonge lingeniletea maumivu ya tumbo nikaharisha siku nzima.
 
Mhhh Mkuu kuna matonge mengine hayamezeki kila ukijaribu kuliweka mdomoni linakataa so unashukuru hata akija mtu kulinyakua mkononi mwako unashukuru kuwa mzigo umeondoka

umeona eeh! Hayamezeki wala hayatemeki. Ukinyang'anywa wajionea sawa tu.
 
hayamezeki lakini yanafaa kumegwa tu......................ahaaaaaaaaaaa

umeona eeh! Hayamezeki wala hayatemeki. Ukinyang'anywa wajionea sawa tu.

Umeona eeehh
matonge mengine bora tuu hata kunguru alikwapue maana halifai kumeza waliweka mkononi waliangalia tuu kulimega washindwa kulitupa washindwa
ukiona mtu anakuja kulichukua washukuru Mungu afadhali limeondoka
 
Nikinyang'anywa nitashukuru tu, pengine hilo tonge lingeniletea maumivu ya tumbo nikaharisha siku nzima.

lakini ili uwe mkweli usijaribu kulimega tonge na ikija kulimez ukaja na huu utetezi ,,,,,,,,lol..........hautaeleweka......
 
Ukinyang'anywa koni utashukuru?

yategemea kama tonge lenyewe umelikubali utamu wake................kama hujalikubali utajionea ni sawa.........
 
Kulitupa unaona soo Ruta watakuona hamnazo
tonge lina kila sifa ya kuwa tonge na wewe unalitupa bila kulila aise
Ila inapofikia mwisho unaona heri aje mwingine alinyanyue aondoke nalo

haya ni mazingira ya kuwa ulikuwa unalihitaji vibaya mno............sasa hulihitaji kwa sababu umeporwa......kama ungelikuwa hulihitaji si ungelitupa siku nyingi...........
 
haya ni mazingira ya kuwa ulikuwa unalihitaji vibaya mno............sasa hulihitaji kwa sababu umeporwa......kama ungelikuwa hulihitaji si ungelitupa siku nyingi.........

Kulitupa soo bana
Utatupate kitu wakati unakiona kinafaa kwa matumizi ya binadamu bana
Unakaa nalo tuu unaliangalia sometime machozi yanakutoka ukifikiria uzuri wake ila unaona ni kipande cha mti tuu
 
Back
Top Bottom