Unapoomba revision kwenye labour cases huwa kuna umuhimu wa kuambatanisha kwenye Notice of Application vielelezo ulivyovitumia CMA?

Myhope

Senior Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
154
Reaction score
67
Unapoomba revision kwenye labour cases huwa kuna umuhimu wa kuambatanisha kwenye Notice of Application vielelezo ulivyovitumia CMA?

Kama jibu ni ndiyo, kama mtu akuviweka nn afanye ili vifike mahakamani?

Naomba msaada.
 
Kwenye maombi ya revision unachotakiwa kufanya Ni kuonesha kifungu Cha sheria unachotumia kui-move Mahakama pamoja na grounds za kuomba hiyo Mahakama ya juu ifanye revision. Mahakama hiyo ya juu itaitisha faili lako ambalo litakuwa na mwenendo na nyaraka zote zilizotumika. So generally hutakiwi kuambatanisha chochote Labda Kama Mahakama ielekeze.

Kumbuka lengo la revision Ni Mahakama ya juu kujiridhisha na propriety, legality na correctness za mwenendo wa shitaka ulivyokwenda, so haihitajiki ushahidi wala vielelezo vipya.
 
Ahsante sana mkuu nimekupata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…