Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mkuu nimekupata!Kwenye maombi ya revision unachotakiwa kufanya Ni kuonesha kifungu Cha sheria unachotumia kui-move Mahakama pamoja na grounds za kuomba hiyo Mahakama ya juu ifanye revision. Mahakama hiyo ya juu itaitisha faili lako ambalo litakuwa na mwenendo na nyaraka zote zilizotumika. So generally hutakiwi kuambatanisha chochote Labda Kama Mahakama ielekeze.
Kumbuka lengo la revision Ni Mahakama ya juu kujiridhisha na propriety, legality na correctness za mwenendo wa shitaka ulivyokwenda, so haihitajiki ushahidi wala vielelezo vipya.