Unapoona picha kama hii huwa unawaza nini katika akili yako?

Mkuu acha tu japo sijawahi kuona mtu anaetumia hivi live..

Ila ni hatare sana hii.. mara nyingi vijana wapenda visingeli wale ndo wanakuaga huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inasikitisha sanaπŸ˜₯ . madaktari wanasemaje kuhusu hiyo Arosto? Maana ukiwasikia Waraibu wanaovyojaribu kuielezea hiyo Arosto inapowakamata, wanaona maneno hayatoshi.
Arosto ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…