Unapoona picha kama hii huwa unawaza nini katika akili yako?

Unapoona picha kama hii huwa unawaza nini katika akili yako?

Kuna wengine huwa wanajidunga sindano mpaka kwenye uume
20240813_022546.jpg
 
Huwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.


It is pain when you see ur friend or relative is under addicts's control.
😁😁😁 Iyo cocoine baba apo kwenye sikio nayo nimzigo apoo fulu mzukaa unaambiwa
 
Back
Top Bottom