dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Bado mkuu soon ntakutumia nipo naandaa riport kwanza .πππNo, vp kwanza em nitumie yale madude nitestie, kama ushamaliza hata moja
Video ya Vishu Mtata πππvideo ipi tena ?
proton pump
DR HAYA LAND hivi kwanini mtu kama huyo huwezi kumwachisha gafla........?
Ok, utaweka kwenye uzi utaanzisha wowote afu kwenye comment yoyote unaviweka, maana soon unavailableBado mkuu soon ntakutumia nipo naandaa riport kwanza .πππ
una uhakika hicho ndio alichokipanda?avune alichokipanda, hakuna namna
Kuna wengine huwa wanajidunga sindano mpaka kwenye uume
Mkuu kwanini mwili unakataa wakati wkati kile kitu sio part ya mwili wako .?Anabidi kuacha Kama alivyoanza
Maana siku ya kwanza unavuta sigara mwili unakukatilia
Na siku ukitaka kuacha mwili huwa unakukatalia
Hata mateja wapo hivyo hivyo.
Poa poa utakua uzi unaitwa Rayns alna emoj za ajabu ππππOk, utaweka kwenye uzi utaanzisha wowote afu kwenye comment yoyote unaviweka, maana soon unavailable
Hahahaa, babeka nimeanzisha uzi wakaniita shoga, babekaπPoa poa utakua uzi unaitwa Rayns alna emoj za ajabu ππππ
hapana, addiction imeshuka toka mbinguniuna uhakika hicho ndio alichokipanda?
Wee jamaaaa nini hiki...?
Uwe na maudhui hata kidogo, ila zingatia jina lenyewe litakiwepo, usije ukafutwa πPoa poa utakua uzi unaitwa Rayns alna emoj za ajabu ππππ
Weeeh imekuaje hii...
πππ Iyo cocoine baba apo kwenye sikio nayo nimzigo apoo fulu mzukaa unaambiwaHuwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.
It is pain when you see ur friend or relative is under addicts's control.
Hawa kila siku wakiona nimebandika bango tuu wanafuta ππππππππUwe na maudhui hata kidogo, ila zingatia jina lenyewe litakiwepo, usije ukafutwa π
ππππππππππππHahahaa, babeka nimeanzisha uzi wakaniita shoga, babekaπ
Hawa kila siku wakiona nimebandika bango tuu wanafuta ππππππππ
Afu msimamizi nae akauhamisha kupeleka kwenye jukwaa la mapenzi ambalo silipendi kabisa, babekaπππππππππππππ
Vijana hovyo sana humu
Wee jamaa imekuaje huyu