Unapoona picha kama hii huwa unawaza nini katika akili yako?

Huyu hapa Chidi Benz. Anatia huruma
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna ile scene yake na Tonny Gunn aisee yule Mama alikuwa hotπŸ₯΅ sana
Hahahh mkuu hiyo ipo kwenye simu tena Full length ina Mbs 100+ ni hatari yule Mmama anajua anachofanya kwakwel apewe maua yake.
 
Miaka ya mwanzo ya 80, Dar nzima hakuna hata teja mmoja, nakumbuka wahuni wote ni wavuta bangi
Walivyoaanza wazungu wa unga, baada ya Mwinyi kuwa raisi, pia walikuwa wachache sana, wanahesabika, mara miaka ya 90 hii, ikawa mpaka watoto nimesoma nao sekondari walikuwa wanabwia,
Lakini ilikuwa wanaita cocktail, wanamix na sigara au bangi, au wengine wanatumia bati kuchoma na lighter
Nikaondoka na kwenda mkoani, ile narudi miaka ya mwishoni mwa 90, mpaka wamachinga wanajidunga na sindano, nilishangaa sana, maana hivi tulikuwa unaona kwenye movie tu , mpaka nakutana na washikaji niliosoma nao wanapiga debe ili wapate hela ya kujidunga, hapo pharmacy zote dili ilikuwa kuuza sindano,
 
Chid Benz nlikutana naye Kisuma Bar pale Magomeni. Ana kidonda mguuni, amevaa malapa na track suit chafu. Usoni anajifunika na mask (kinyago) ili usimtambue mpaka pale anapofika kwa mlengwa.
Anaomba omba tu
Inasikitisha sana.
 
Unyamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…