Unapopigiwa simu na mpenzi wa mtu unayemfukuzia

Dah! umeme umekatika ufafanuzi ni mrefu halafu betri yangu haikai na chaji muda mrefu.
HahahahahahahaalolNaona wanitoroka kichizi Haina neno.. tutakutana tu Mtaa wa juu mmhh
 
Wanaume wanakosea kufanya hvyo. Hawajui kama wao walivyopenda na wenzao wanaweza penda hvyo hvyo
 
Msiombe jama kuna wanaume wanashetani na wake za watu,atatafuta kila jinsi 4 no yake na usumbufu kuanzia hapo


Mtu kama huyo dawa yake ndogo sana, next time hatavizia tena wake za watu, atawapishia mbali kabisa!
 
Wanakula hadi unajua, halafu wasuruhishi wanakwambia samehe saba mara sabini kwani wewe si wa kwanza wala wa mwisho. Inakuingia kweli hiyo mdg.
Kwa kweli yataka moyo katika kusamehe...
 
Naogopa kweli kupigiwa simu na hzo njemba teh!
 
Ni kutojiamini na uzuzu vimechanganyikana............eti unapiga kumtukana, then what?
 
Mie ukinipigia na kunitukana ndo kama umenichochea kabisaaaa hapo sitaaacha kamwe na ni lazima nilambe huo mzigo bana............si ushaniadhibu?
 
in short ni wivu,hii ni ctor ya kweli iliyotokea last year wen a gal alipokuwa anachat na fellows of ha bf ambapo da bf aliwapgia wote akawatel wakome!tena kdg bfu lianze....mapnz mengine ni too much bwana
Upo wewe
 
Ujue kwanza kugawa number sio kuzuri kama huyo mtu ana nia mbaya 2.kuna wengine hasa midume hujipa ule moyo wa nitamkonvice tuuu 3.Mie nikirusha jiwe, next thing is una mtu maana sitaki kuanza maumivu kabla ya ugonjwa wenyewe. 4. kina dada hasa wale wa Saint Marys and its company kupigiwa simu kibao sijui ndo wanapendaga? sielewagi kwa kweli miye....
 

binafsi somehow nakubaliana na Mr. Man lazima utete uhusiano wako kadri uwezavyo... kipi bora, ujifanye unajiamini wakati mwenzio analiwa. Je ujifanye unajiamini wakati mwenzio anakuletea ukimwi ndani ya nyumba? .. binafsi naona ni OK kufuatilia mara moja moja ili kujihakikisha (ila isizidi sana)... nani atatulia na kukenua meno siku akiona na ku-confirm mpenzi/mke wake analiwa nje ya utaratibu.
 

Kanyagio............ni wakati gani muafaka utajipiga break? coz hii ndio start up ya ugonjwa wenyewe; na unaanza kidogo then usipokuta kitu unaendela kutoamini ukijua kuwa kazfuta logs.................hakuna kitu kama kutozidi sana. na uzuri ni kuwa dalili za mabaya utazijua tu; kama kweli ni mtu wako si lazima ulie na simu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…