Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahahahaalolNaona wanitoroka kichizi Haina neno.. tutakutana tu Mtaa wa juu mmhhDah! umeme umekatika ufafanuzi ni mrefu halafu betri yangu haikai na chaji muda mrefu.
Utaweza kweli kujificha?Na kama ukiweza unadhani Mpaka lini? ?Na utakuwa unamdanganya nani??( i mean unadanganya nafsi ya nani)?ni ngumu, hapo ni kujaribu kujificha kwa ukuta wa ukungu
Msiombe jama kuna wanaume wanashetani na wake za watu,atatafuta kila jinsi 4 no yake na usumbufu kuanzia hapo
Kwa kweli yataka moyo katika kusamehe...Wanakula hadi unajua, halafu wasuruhishi wanakwambia samehe saba mara sabini kwani wewe si wa kwanza wala wa mwisho. Inakuingia kweli hiyo mdg.
Dawa yake ni nini??Mtu kama huyo dawa yake ndogo sana, next time hatavizia tena wake za watu, atawapishia mbali kabisa!
kuna jamaa kampigia simu demu anayemuuzia sera, kaulizwa unataka kuongea na husband?Naogopa kweli kupigiwa simu na hzo njemba teh!
mh we mkalee!Mie ukinipigia na kunitukana ndo kama umenichochea kabisaaaa hapo sitaaacha kamwe na ni lazima nilambe huo mzigo bana............si ushaniadhibu?
Naogopa kweli kupigiwa simu na hzo njemba teh!
Upo wewein short ni wivu,hii ni ctor ya kweli iliyotokea last year wen a gal alipokuwa anachat na fellows of ha bf ambapo da bf aliwapgia wote akawatel wakome!tena kdg bfu lianze....mapnz mengine ni too much bwana
Unakuta namba ya mtu hata katika simu ya mumeo au mkeo hata huulizi! kisa unajiamini! Mumeo/Mkeo lazima umpiganie pale ambapo mtu anataka kuchezea himaya yako ikiwemo hata kumtukana huyu mwanaume/mwanamke mwingine na pia kumkoromea mkeo/mumeo. Hizi imani za kusema ooh! mie najiamini kumbe wenzako wanakula mali zako! ni upumbavu. Unadeal na wote wawili mpaka kieleweke ukiona yamekuelemea basi unabwaga manyanga.
binafsi somehow nakubaliana na Mr. Man lazima utete uhusiano wako kadri uwezavyo... kipi bora, ujifanye unajiamini wakati mwenzio analiwa. Je ujifanye unajiamini wakati mwenzio anakuletea ukimwi ndani ya nyumba? .. binafsi naona ni OK kufuatilia mara moja moja ili kujihakikisha (ila isizidi sana)... nani atatulia na kukenua meno siku akiona na ku-confirm mpenzi/mke wake analiwa nje ya utaratibu.
Msiombe jama kuna wanaume wanashetani na wake za watu,atatafuta kila jinsi 4 no yake na usumbufu kuanzia hapo