Lofawamali
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 304
- 146
hyo itakua michezo yako aiseee c huko hatupoNjoo umefumuliwa marinda!
Sasa kama ni mke wa mtu unachepuka akuambie ulete nn?ukimwi?
naona upeo wako ushafika mwishoSasa kama ni mke wa mtu unachepuka akuambie ulete nn?ukimwi?
Soma tena vizuri hii post mkuu ... wasije wenzio tukawa tunaenda kulia we unaelekea kushoto !Sasa kama ni mke wa mtu unachepuka akuambie ulete nn?ukimwi?
we ushaisoma?Soma tena vizuri hii post mkuu ... wasije wenzio tukawa tunaenda kulia we unaelekea kushoto !
Ukimwambia nipo toilet atakwambia njoo na kinyesi kidogo ili niamnniko toilet tuone atasema niende ba nini sasa?
njoo na mchepuko niuoneDawa yake ndogo mwambie nachepuka.....
niko kanisani.....
hahahahahhaha usisahau na copy!!!!!!!!!Njoo na Gwajima