Unapopigiwa simu na wife

Unapopigiwa simu na wife

Hio ni moja ya upendo, na inaraha yake!

Kwa sisi wanaume tunaojua, tunachukulia ni moja ya upendo na ni raha sana!!
 
Hahahaaa aisee, Mimi janatu nipo mbaaaali mtu anataka nikirudi nirudi na sabuni ya kuogea wakati yeye yupo tu sebuleni anaangalia TV.

Any way tuwaleteetu ndio furahayao.
 
Back
Top Bottom