Nitafutie helaMm Husema One Day Yess Ipo Siku Tu Nami Nitakuwa Mmoja Wa Wamiliki
Mungu Bariki Stragglers zangu
Nasepa zangu Haya VP ww Husema Maneno Gani [emoji2][emoji2]View attachment 1365466
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusikate tamaa mapema kwa kuwa uvumilivu wa Nyanya awamu hii umeifanya kuwa na bei ya Apple so ukiwa na kibanda chako ni suala la uvumilivu tu huenda siku moja kikawa Ghorofa.
Mi huwa nakata tamaa hasa nikikuta walioyajenga wamekufa na walioachiwa wamekuwa ombaomba na wavuta bangi.
As long as there is blood in my veins ,I'll fight
Struggles.Mm Husema One Day Yess Ipo Siku Tu Nami Nitakuwa Mmoja Wa Wamiliki
Mungu Bariki Stragglers zangu
Nasepa zangu Haya VP ww Husema Maneno Gani [emoji2][emoji2]View attachment 1365466
Sent using Jamii Forums mobile app