Unapopita 'Ushuani' kwenye nyumba za kifahari, huwa unajisemea nini moyoni?

Unapopita 'Ushuani' kwenye nyumba za kifahari, huwa unajisemea nini moyoni?

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Mm Husema One Day Yess Ipo Siku Tu Nami Nitakuwa Mmoja Wa Wamiliki

Mungu Bariki Strugglers zangu
Nasepa zangu Haya VP ww Husema Maneno Gani [emoji2][emoji2]
FB_IMG_1582307945044.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
najiulizaga hvi hawa wanaijua raha ya CHABO? Kuchungulia mtu anakula mzgo kwenye nyumba zetu za msongamano.
 
Tusikate tamaa mapema kwa kuwa uvumilivu wa Nyanya awamu hii umeifanya kuwa na bei ya Apple so ukiwa na kibanda chako ni suala la uvumilivu tu huenda siku moja kikawa Ghorofa.
 
ila kiukweli wananipa mzuka zaidi wa kupambana na hali yangu ili na mimi niweze kufikia pale walipo au zadi
 
Back
Top Bottom