Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 3, 2025 #1 Hii kauli ya kusema kijana ni taifa la kesho ni kama unamzuia leo ukisubiri ujana wake umeisha. Vijana wanaitajika kuanza leo sio kesho sababu ndoto zao zipo leo wala sio kesho. Hata sisi tulidanganywa sasa kuwa taifa la kesho mwisho wa siku tunafanya mambo ya kijana wakati ni watu wazima.
Hii kauli ya kusema kijana ni taifa la kesho ni kama unamzuia leo ukisubiri ujana wake umeisha. Vijana wanaitajika kuanza leo sio kesho sababu ndoto zao zipo leo wala sio kesho. Hata sisi tulidanganywa sasa kuwa taifa la kesho mwisho wa siku tunafanya mambo ya kijana wakati ni watu wazima.