The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Watumishi wa Umma wako busy kushangilia ongezeko la mishahara kwa kima cha chini huku wakisahau kwamba wamepigwa kwenye Kikokotoo.
Ongezeko litasaidia nini ikiwa ukistaafu unapewa pesa kidogo ya asilimia 33.33% tuu?
Kwa hiyo hapa mtu anaifanyia Kazi serikali.Juu ya hilo hakuna cha fao la kujitoa kwa wafanyakazi sekta binafsi na wale wa mkataba.👇