Unaposhangilia kuongezwa kwa Mishahara Usisahau kwamba Umepigwa kwenye Kikokotoo cha mafao

Unaposhangilia kuongezwa kwa Mishahara Usisahau kwamba Umepigwa kwenye Kikokotoo cha mafao

Mi huwa nashangaa sana, Yaani serikali inang'ang'aniaje pesa za wastaafu wa hali aya chini wakati wale wa ngazi za juu wanapewa pesa zao zote.
wenda umasikin wao ndio mtaji Kwa wasiasa.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Watumishi wa Umma wako busy kushangilia ongezeko la mishahara kwa kima cha chini huku wakisahau kwamba wamepigwa kwenye Kikokotoo.

Ongezeko litasaidia nini ikiwa ukistaafu unapewa pesa kidogo ya asilimia 33.33% tuu?

Kwa hiyo hapa mtu anaifanyia Kazi serikali.Juu ya hilo hakuna cha fao la kujitoa kwa wafanyakazi sekta binafsi na wale wa mkataba.[emoji116]
Inaonekana hili jambo linakusumbua sana . Waache watu wafurahie jambo lao. .... Unaumia nini ???

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana hili jambo linakusumbua sana . Waache watu wafurahie jambo lao. .... Unaumia nini ???

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Pole sana, Umasikini sio kukosa pesa peke yake, Hata ukikosa mawazo nako ni umasikini. Kama huwezi kuguswa na dhuluma inayofanywa na serikali kwa wastaafu siku yako inakuja, na itakapofika utaona uchungu kuliko malalamiko ya wengi hapa.
 
Back
Top Bottom