The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ongezeko lenyewe haliifikii hata increment ya toka mwaka 2016-2021, sema watumishi wengi ni wajinga sn hawajui hata haki zaoNawasalimu kwa jina la JMT..
Watumishi wa Umma wako busy kushangilia ongezeko la mishahara kwa kima cha chini huku wakisahau kwamba wamepigwa kwenye Kikokotoo..
Ongezeko litasaidia nini ikiwa ukistaafu unapewa pesa kidogo ya asilimia 33.33% tuu?.
Kwa hiyo hapa mtu anaifanyia Kazi serikali.Juu ya hilo hakuna cha fao la kujitoa kwa wafanyakazi sekta binafsi na wale wa mkataba..
Pole ndugu, hili la kuongezewa mishahara watumishi wa umma, limekuumiza sana.Nawasalimu kwa jina la JMT..
Watumishi wa Umma wako busy kushangilia ongezeko la mishahara kwa kima cha chini huku wakisahau kwamba wamepigwa kwenye Kikokotoo..
Ongezeko litasaidia nini ikiwa ukistaafu unapewa pesa kidogo ya asilimia 33.33% tuu?.
Kwa hiyo hapa mtu anaifanyia Kazi serikali.Juu ya hilo hakuna cha fao la kujitoa kwa wafanyakazi sekta binafsi na wale wa mkataba..
Kumbe,basi sawaPole ndugu, hili la kuongezewa mishahara watumishi wa umma, limekuumiza sana.
Naona unatafuta mbinu za kujifariji kuondoa maumivu yako.
Yaani kama wewe pia una familia naionea huruma sana,wanakuaje na mama ki.hio?Ongezeko lenyewe haliifikii hata increment ya toka mwaka 2016-2021, sema watumishi wengi ni wajinga sn hawajui hata haki zao
Hata ingeozeka 10000 haikuhusu msukuma wwYaani niwe na wivu kwa ongezeko la 42,000?
Huna akili maskini mkubwa wewe
Mbona povu Sana mkuuYaani niwe na wivu kwa ongezeko la 42,000?
Huna akili maskini mkubwa wewe
Hivi wewe nawe akili huna umeshindwa kutaja jina lake unataja kabila lake! Haikusaidii chechote! Hao wasukuma wengine tu maisha wanakuzidi pamoja na chuki zako!Hata ingeozeka 10000 haikuhusu msukuma ww
Hivi wewe nawe akili huna umeshindwa kutaja jina lake unataja kabila lake! Haikusaidii chechote! Hao wasukuma wengine tu maisha wanakuzidi pamoja na chuki zakoHata ingeozeka 10000 haikuhusu msukuma ww
Sawa Kaka nimekosa [emoji23][emoji23] nisamehe [emoji119][emoji119][emoji119]Hivi wewe nawe akili huna umeshindwa kutaja jina lake unataja kabila lake! Haikusaidii chechote! Hao wasukuma wengine tu maisha wanakuzidi pamoja na chuki zako!
Mi huwa nashangaa sana, Yaani serikali inang'ang'aniaje pesa za wastaafu wa hali aya chini wakati wale wa ngazi za juu wanapewa pesa zao zote.Nawasalimu kwa jina la JMT.
Watumishi wa Umma wako busy kushangilia ongezeko la mishahara kwa kima cha chini huku wakisahau kwamba wamepigwa kwenye Kikokotoo.
Ongezeko litasaidia nini ikiwa ukistaafu unapewa pesa kidogo ya asilimia 33.33% tuu?
Kwa hiyo hapa mtu anaifanyia Kazi serikali.Juu ya hilo hakuna cha fao la kujitoa kwa wafanyakazi sekta binafsi na wale wa mkataba.
Hao wenyewe wa Hali ya chini hawajitambuiMi huwa nashangaa sana, Yaani serikali inang'ang'aniaje pesa za wastaafu wa hali aya chini wakati wale wa ngazi za juu wanapewa pesa zao zote.
Ongezeko lenyewe haliifikii hata increment ya toka mwaka 2016-2021, sema watumishi wengi ni wajinga sn hawajui hata haki zao
Sukuma Gang mnapata tabu sana [emoji38][emoji38][emoji38], Wacha mama aupige mwingi.Hao wenyewe wa Hali ya chini hawajitambui
Mara mojamoja huwa unarudiwa akili kumbe. Siasa ni sayansi.Nawasalimu kwa jina la JMT.