Unaposhangilia kuongezwa kwa Mishahara Usisahau kwamba Umepigwa kwenye Kikokotoo cha mafao

Mi huwa nashangaa sana, Yaani serikali inang'ang'aniaje pesa za wastaafu wa hali aya chini wakati wale wa ngazi za juu wanapewa pesa zao zote.
wenda umasikin wao ndio mtaji Kwa wasiasa.
 
Inaonekana hili jambo linakusumbua sana . Waache watu wafurahie jambo lao. .... Unaumia nini ???

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana hili jambo linakusumbua sana . Waache watu wafurahie jambo lao. .... Unaumia nini ???

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Pole sana, Umasikini sio kukosa pesa peke yake, Hata ukikosa mawazo nako ni umasikini. Kama huwezi kuguswa na dhuluma inayofanywa na serikali kwa wastaafu siku yako inakuja, na itakapofika utaona uchungu kuliko malalamiko ya wengi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…