Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nafikiri mpaka apo akuna swali yanga anakwenda kubeba makombe yote msimu huu, pongezi kwa kocha Nabi kwa mbinu bora amedhihirisha sio kocha wa kubahatisha, pongezi kwa wachezaji, wamefanya kaxi kubwa, siku zote mpira sio maneno ni vitendo, aya sasa babra na watu wake wawai uwanja wa ndege warudi walikotoka msimu huu wametoka kapa wamepoteza kila kitu wakajipange na msimu ujao waondoe wazee vinginevyo waandae pensheni yao kabisa