Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
- Thread starter
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hiyo kweli ni moja kati ya kero nyingi za online dating!Am back changamoto ziko nyingi sana kwenye online datin1.ntajntabu kuziorodhesha baadhi
1.Catfishing.mtu kutumia persona ya mtu mwengine,mfano mwakukke uko online unajua unachat na hamorapa kumbe unachat na rayvanny mwisho wa siku mnakuja kukutana inakuwa tafrani.au unajua unachat na Tulia A kumbe unachat na kidoti.
Kiongozi, vip kuhusu faida;hujawahi kupata faida yoyote kupitia hii online dating?