Unapotafuta marafiki/mchumba/mwenza mtandaoni, kumbuka haya!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hiyo kweli ni moja kati ya kero nyingi za online dating!
Kiongozi, vip kuhusu faida;hujawahi kupata faida yoyote kupitia hii online dating?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hiyo kweli ni moja kati ya kero nyingi za online dating!
Kiongozi, vip kuhusu faida;hujawahi kupata faida yoyote kupitia hii online dating?
Faida iliyopo ni kuwa unaweza okota dodo chini ya mwarubaini.unaweza ukapata soulmate na mkawa wapenzi wakudumu,binafsi nimeweza kukutana na wadada tafauti tafauti wengine tukawa wapenzi na wengine tuliishia kuwa marafiki wengine wamekuwa wenyeji wangu ktk nchi nlizotembelea,mmoja akaja kuwa wakili wangu,wengine wamenipa madili n.k.
 
Hongera sana kiongozi!
Hakika online dating ni nzuri japo inahitaji uwe makini sana,vinginevyo unaweza kujikuta unazalisha tabia mbaya ambayo hukuwa nayo kabla.
 
Hongera sana kiongozi!
Hakika online dating ni nzuri japo inahitaji uwe makini sana,vinginevyo unaweza kujikuta unazalisha tabia mbaya ambayo hukuwa nayo kabla.
True dat.skuiz zimevamiwa,matapeli humohumo,wanaojiuza mumo mumo.wahuni pia.zamani ulikuwa unakutana na mtu wa online bila waswas sanasana unahofia tu asije akawa hafananii na picha zake.lakini skuiz nkitaka kumDM Thad naanza kuingiwa na ubaridi naogopa isije ikawa nipo kwenye listi ya wanaotafutwa na bwana yule.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekesha sana eti unahofia usijekuwa kwenye list!
Kweli watu wanaiharibu kiasi kwamba inapoteza maana. Imefikia hatua watumiaji wa hizi online dating wanaonekana ni watu wasio na maadili na walioshindikana kwenye jamii.
 
uyo uliyesoma nae tu STD1_7 ana siri hutakaa uijue na siku ukiijua utaweka[emoji134]
Kabisa mkuu!
Hao tunaofahamiana nao,wakati mwingine wamekuwa mwiba sana maishani mwetu.
 
Kweli dada ila pia wapo watu na heshima zao wanatumia hii mitandao.chamsingi ni mtumiaji kutojichanganya.hizi site zina madaraja yake huwezi kwenda bar ya uswahilini tandale ukatagemea upate huduma zenye hadhi ya elements au high spirit.Badoo ni kama munda bar ya huku kwetu tandale na tinder ni kama elements.sasa kama uzijuavyo bar za kwetu uswahilini ngumi,kupigana na chupa za bia,kushikashika mabaamedi etc,so chagua dating site/app inayoendana na hadhi na malengo yako.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Ushauri murua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…