Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

MAGENDELO

Member
Joined
May 22, 2013
Posts
6
Reaction score
1
vijana wengi wanao jiunga na vyuo wanasoma kozi kwa mkumbo bila kuangalia hali za familia zao.eg. m2 anasoma kozi hajui hata soko la ajira katk koz hzo matokeo yake wanakosa hata sehemu za kufanya field. koz nyingine ina bd usome kama kwenu kuna kampun au ngos.
 
Nimepata 3.16 HKL,kwetu choka mbaya,kufundisha sijui sasa nisome kozi ipi..??
Mleta uzi,hakuna mtu anayesoma akitegemea kukaa nymbani baada ya kugraduate
 
Hata me nashangaaga,unakuta dume zima eti linasoma community development au procurement!
 
bora procurement lingine linasoma socialogy au public administration..!
 
Hata me nashangaaga,unakuta dume zima eti linasoma community development au procurement!

sijui kama umeelewa logic ya mleta uzi!,
nilivyomwelewa ni kuwa kuna kozi huwezi kupata kazi kirahic kwa muda huo kwa sbb waajiri hakuna au soko la ajira kwa field hiyo halipo au lipo kwa uchache!
 
Mimi nasoma bachelor of Arts in family planning. Vp hii?
 
Vipi conflict resolution,family consumer,mid wifery

daah kuna mwanangu nimemaliza nae kasoma PCB, amechaguliwa sua -family consumer hvi ajira zake ni wapi hii course au ndo viwanda vya kina bakharesaa
 
Hata me nashangaaga,unakuta dume zima eti linasoma community development au procurement!

wewe utakua na matatizo sio bure.
unaijua procurement vizuri wewe au unaongea stori za kijiweni kwenu?
mimi nimemaliza procurement ndani ya miezi 3 nkapata kitengo sasa sijui wewe unaongelea procurement ipi...kakojoe ulale
 
Mimi nasoma bachelor of Arts in family planning. Vp hii?

Yapo mashirika mengi yanayo-deal na hiyo field lkn hapo kwe Arts panachafuaa hhali ya hewa although nadhani chance kwa mashirka kama Family health International (FHI), AMREF, PSI na mengine siyo kubwa kama watu waliosoma mambo ya afya completelly, mfano watu wa public health managements!
 
kwel kabisa bsc in chemistry ina tatizo gan mbona wa2 wanaidis sana
 
Back
Top Bottom