Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
Dogo wacha dharau na uhakika 100% wewe ni first year ambae unatarajia kuanza chuo kama ulikua hujui..sociology kwenye NGO ina matter sana na inayotoa watu..na hiyo public administration ina uwanja mpana mpaka U-HRM..tatizo wabongo mna waza jina la kozi nakati katika degree utakayo some kuna courses kibao ambazo..zinaweza kukutoa katika life...ila ni first year usie jua hata kitaa baada ya kumaliza degree kukoje...overr...!!!
we me nipo 3rd year pale aru SCEM...! so jipangee