Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

kwa nn sio rahisi!

kwanza sasa hivi serikali inafanya mpango wa kupunguza jeshi(askari)halafu fedha itatumika kununulia silaha za kisasa pia kule JKT vijana wengi baada ya mafunzo wanarudi nyumbani wakajiajiri au wakaajiriwe na makampuni ya ulinzi.

pili,JW ni miaka sasa graduate hawakuajiriwa kwa kutangazwa bali wajanja wachache wanaingia JKT kwa vyeti vya olevel na alevel,kwa kweli jeshini si rahisi.
 
umeandka utumbo,,JWTZ kuna nafas kibao
 
bora procurement lingine linasoma socialogy au public administration..!

Wawafungulie vyuo muende Orientation, mnaongea vitu hata msivyovijua, ajira mnazozijua nyie ni za walimu wenu waliowafundisha primary mpaka advance....
 
Vp kuhusu tax management jamani?? ajira bado zpo? mkopo je?
 
kuna kozi kama sheria...kama una ndugu wana law firms inakua rahc kutoka au kama dingi anajuana na big names kwenye field...vilevile inabid mzaz awe na uwezo kukulipia ada law skul once u graduate...vinginevyo bora usome course nyingine otherwise itakuwia vigum kutoka
 
umeandka utumbo,,JWTZ kuna nafas kibao

kuhusu kupumguza jeshi subiri muda mfupi ujao utajua kama naburudisha jukwaa"the matter is not what you know but whom you know" huo ndio ukweli kama huna kigogo jeshini usijidanganye bure,jaribu kufanya utafiti kidogo nina wasiwasi unaandika hivyo kwa kuwa uko nje ya box. ukweli utaujua malizeni vyuo all in all kila la heri
 
Chamsingi tusiishi kupitia ndoto za watu coz tunagraduate wengi at the same course bt kwenye kuajiriwa ni tofauti wengine wanabahatika mapema na wengine wanasugua bench xco cha umuhimu fanya kulingana na hisia zako zilivyo...
 
Siyo uangalie nyumbani kwenu tu, pia angalia mazingira ya kazi. Je unaipenda kazi yenyewe? Kuna kazi zingine utateseka maishani mfano ualimu. Licha ya mshahara mdogo kazi hii inadharaulika sana. Maafisa utumishi kama KIBAMBA wa wizara ya elimu hawatakupandisha cheo bila rushwa.
 
ajira za B.A History ni zipi?ila am sure hata kama zipo kupata ni ngumu...
ukiwa chuo opt CE(teaching methodology) unaua ndege wawili ukikosa ajira unaingia kwny teaching ni ushauri tu.
 
Back
Top Bottom