Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
mi mwenyewe niko education ila inalipa ktk xoko la ajira
xoko ndio nn? Mwalimu mtarajiwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi mwenyewe niko education ila inalipa ktk xoko la ajira
JWTZ sio rahisi kama unavyofikiri labda akasome B.A.LAW ENFORCEMENT akaajiriwe TANZANIA POLICE FORCE
kwa nn sio rahisi!
Hatuajiri tena hiyo kozi mpaka baada ya miaka 10
hata me nashangaaga,unakuta dume zima eti linasoma community development au procurement!
JWTZ sio rahisi kama unavyofikiri labda akasome B.A.LAW ENFORCEMENT akaajiriwe TANZANIA POLICE FORCE
kwanza sasa hivi serikali inafanya mpango wa kupunguza jeshi(askari)halafu fedha itatumika kununulia silaha za kisasa pia kule JKT vijana wengi baada ya mafunzo wanarudi nyumbani wakajiajiri au wakaajiriwe na makampuni ya ulinzi.
pili,JW ni miaka sasa graduate hawakuajiriwa kwa kutangazwa bali wajanja wachache wanaingia JKT kwa vyeti vya olevel na alevel,kwa kweli jeshini si rahisi.
bora procurement lingine linasoma socialogy au public administration..!
we me nipo 3rd year pale aru SCEM...! so jipangee
umeandka utumbo,,JWTZ kuna nafas kibao
umeandka utumbo,,JWTZ kuna nafas kibao
Wakuu vipi kuhusu BA.HISTORY? Naombeni msaada tafadhal.