Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Naunga mkono hoja hahaha
Daah hapana aisee mkuu badoKwa huu ' Ubunifu ' wako huu wa ' Kutukuka ' wa kila uzi mpya unapoanzishwa Wewe unakuwa #2 kuujibu bado tu haujakupatia ' Mademu ' humu ambao wanawapenda Watu Wajanja Wajanja na Vipanga / Werevu kama Wewe Mkuu? Nitashukuru nikipata ' mrejesho ' wako juu ya hili tafadhali.