Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sana kuna mwehu aliazima kama milion moja hivi mwaka 2015 mpaka leo anajidai hanijuiHivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako!
Malimwengu ya walimwengu hayo.
Hakuna jipya chini ya jua, hayo yapoHivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako!
Malimwengu ya walimwengu hayo.
Sana kuna mwehu aliazima kama milion moja hivi mwaka 2015 mpaka leo anajidai hanijui
Inashangaza mimi imenitokea mara nne na pengine si hela nyingi ila kinachoniboa ni kuwa hela nitoe mimi rafiki anakuja kwa unyenyekevu na anajicommit mwenyewe siku ya kurejesha ila sasa inageuka inakuwa mimi ndio naanza kukumbushia kila mara ili alipe. Na kadiri unavyokumbushia deni ndio urafiki unaenda mbali sana.Hivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako!
Malimwengu ya walimwengu hayo.
Hiyo ilinitokea mwaka uliopita mwezi wa tisa laki 7 na nusu imesababisha rafiki asipokee simu wala kujibu text yangu hadi hivi leoHivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako!
Malimwengu ya walimwengu hayo.
Inashangaza mimi imenitokea mara nne na pengine si hela nyingi ila kinachoniboa ni kuwa hela nitoe mimi rafiki anakuja kwa unyenyekevu na anajicommit mwenyewe siku ya kurejesha ila sasa inageuka inakuwa mimi ndio naanza kukumbushia kila mara ili alipe. Na kadiri unavyokumbushia deni ndio urafiki unaenda mbali sana.
Mwisho wapoteza hela na urafiki.
Me ilinitokea 2014 nilimwazima friend elfu 10 mpka dakika hii naandika anajifanya hajui....sahvi kaoa mwaka 2016 juzi ananambia naazima laki 2 nilimjibu sawa ntakutuma sasa hvi...hii sasa hvi mpka dakika hiiHivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako!
Malimwengu ya walimwengu hayo.
Elf 40 tu my friend Doreen mwaka 2009 ushoga umekufa na pesa sijalipwa
Kwani imekuje tena mkuuHivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako!
Malimwengu ya walimwengu hayo.
Bora urafiki upotee 2 but sio helaHivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako!
Malimwengu ya walimwengu hayo.
Kwani imekuje tena mkuu
Mi kwa kweli nimesamehee baada ya kuona nazungushwa sana hata sitaki tena kukumbukaWala hamna kitu. Nimelikumbuka tu hilo suala.
Bora urafiki upotee 2 but sio hela
hii mada umenisemea mimi au Nyani NgabuHivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?
Rafiki anakujia na shida zake.
Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.
Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!
Unapoteza rafiki na hela zako!
Malimwengu ya walimwengu hayo.
hii mada umenisemea mimi au Nyani Ngabu