Hii post hii acha niandike kuna mmoja nlimpa laki 5 aongeze mzigo dukani kwake kanilipa laki 2 laki 3 ananiambia atanilipa tu miaka 3 sasa hata nimesahau kuulizia,kuna mmoja 384,000(huyu nilimlaza polic ekwa some reasons) alilipa bado 75000 ila ndo nishahesabia nimepoteza,Kuna wa million 4 huyu mpaka anamaliza deni nlipomtishia siku ya sendoff yake nitahakikisha namtia aibu ya karne ndo akalipa tena kasaidiwa na ukoo maana mara ya mwisho alinjibu mbovu sana ndugu zake wakaingilia kumlipia,kuna wa laki 4 huyu hajalipa hata senti ila mzr akaniambia achana na mpumbavu mtu mwenyewe degree ya upumbavu achana nae, Kuna mmoja nlimleta mjini na kumpa channel ya kazi na kumlimlipia kodi 480,000 na full furnitures nlimpa kwa muda akiwa sawa akinunua zake anirudishie zangu nimeambulia maneno ya shombo na hata kimoja sijapata ha ha ha ha wote walikuwa marafiki kweli kweli nagukuru hali ngumu ya JIwe maana vyuma vimekaza hata kuazimana pesa hakuna.
Kwenye pesa hamnaga urafiki jamani