Unapoteza vyote...

Unapoteza vyote...

Halafu, hebu tuache kujifanya wote ni wema sana humu.

Nina imani hata wazikaji wapo pia.

Tupate basi na ushuhuda wa ulivyomzika mshikaji wako hela zake.

Hahahaaaaa..lets keep it 100 folks.

Wazikaji tuna pita kimya kimya tunawachora mnavyo lia lia
 
Hii post hii acha niandike kuna mmoja nlimpa laki 5 aongeze mzigo dukani kwake kanilipa laki 2 laki 3 ananiambia atanilipa tu miaka 3 sasa hata nimesahau kuulizia,kuna mmoja 384,000(huyu nilimlaza polic ekwa some reasons) alilipa bado 75000 ila ndo nishahesabia nimepoteza,Kuna wa million 4 huyu mpaka anamaliza deni nlipomtishia siku ya sendoff yake nitahakikisha namtia aibu ya karne ndo akalipa tena kasaidiwa na ukoo maana mara ya mwisho alinjibu mbovu sana ndugu zake wakaingilia kumlipia,kuna wa laki 4 huyu hajalipa hata senti ila mzee akaniambia achana na mpumbavu mtu mwenyewe degree ya upumbavu achana nae, Kuna mmoja nlimleta mjini na kumpa channel ya kazi na kumlimlipia kodi 480,000 na full furnitures nlimpa kwa muda akiwa sawa akinunua zake anirudishie zangu nimeambulia maneno ya shombo na hata kimoja sijapata ha ha ha ha wote walikuwa marafiki kweli kweli nagukuru hali ngumu ya JIwe maana vyuma vimekaza hata kuazimana pesa hakuna.
Kwenye pesa hamnaga urafiki jamani
 
Hii post hii acha niandike kuna mmoja nlimpa laki 5 aongeze mzigo dukani kwake kanilipa laki 2 laki 3 ananiambia atanilipa tu miaka 3 sasa hata nimesahau kuulizia,kuna mmoja 384,000(huyu nilimlaza polic ekwa some reasons) alilipa bado 75000 ila ndo nishahesabia nimepoteza,Kuna wa million 4 huyu mpaka anamaliza deni nlipomtishia siku ya sendoff yake nitahakikisha namtia aibu ya karne ndo akalipa tena kasaidiwa na ukoo maana mara ya mwisho alinjibu mbovu sana ndugu zake wakaingilia kumlipia,kuna wa laki 4 huyu hajalipa hata senti ila mzr akaniambia achana na mpumbavu mtu mwenyewe degree ya upumbavu achana nae, Kuna mmoja nlimleta mjini na kumpa channel ya kazi na kumlimlipia kodi 480,000 na full furnitures nlimpa kwa muda akiwa sawa akinunua zake anirudishie zangu nimeambulia maneno ya shombo na hata kimoja sijapata ha ha ha ha wote walikuwa marafiki kweli kweli nagukuru hali ngumu ya JIwe maana vyuma vimekaza hata kuazimana pesa hakuna.
Kwenye pesa hamnaga urafiki jamani
Best nikopeshe laki moja na mimi lool
 
Inamhusu yeyote aliyewahi patwa na hali hiyo.

Mkubwa hata mie Msamaria nimeshapoteza vyote mara nyingi tu.

Siku hizi mtu akijakukopa namwambia bwana mkubwa, sitaki tuharibu urafiki wetu. Niahidi utanirudishia lini na sitakusumbua. Ila nimeshajiwekea kiwango cha kupoteza vyote.

Kuna pesa nazijutia sana. Mbaya zaidi kama ulivyosema, inafika kipindi unabembeleza kana kwamba wewe ndio unahatia, bado unaambiwa usinisumbue na pesa mbuzi yako...wabehi.
 
Hii imewahi nitokea nilimuazima rafiki angu kiasi Fulani cha pesa alipe ada maana chupuchupu asifanye mtihani wa mwisho. .urafiki ulishakufaga

Ingawa nimeshasamehe
 
nimepoteza marafiki wa tatu na ex girlfriend mmoja na pesa pia zimeenda nao....

hawa marafiki haina shida ila huyu ex popote ntakapokutana naye ntamzingua maana hela yenyewe aliyochukua nilisikia aliendaga kumlipia ada bwana ake mpya yani ndio hasira zinazid mamaeee
[emoji16] [emoji16]
 
Hivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?

Rafiki anakujia na shida zake.

Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.

Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!

Unapoteza rafiki na hela zako!

Malimwengu ya walimwengu hayo.
Imenikuta Mara tatu hii nimeapa kutokumkopesha rafiki milele
 
Sema kweli. Wewe hujawahi mzika mtu hela zake?
Sijawahi hakika jamaa alinikopa hela ya harusi 2016 January mpk hii amenipa laki 2 laki NNE zote mpk Leo nikipiga cm kwake hapokei ni mwiko kwangu kumkopesha rafiki
 
Write your reply...Nimemkopesha mtu hela hanilipi ananipigia simu unaendeleaje nikamjibu naendelea kukudai na urafiki ufe usiponipa hela zangu
 
Mkubwa hata mie Msamaria nimeshapoteza vyote mara nyingi tu.

Siku hizi mtu akijakukopa namwambia bwana mkubwa, sitaki tuharibu urafiki wetu. Niahidi utanirudishia lini na sitakusumbua. Ila nimeshajiwekea kiwango cha kupoteza vyote.

Kuna pesa nazijutia sana. Mbaya zaidi kama ulivyosema, inafika kipindi unabembeleza kana kwamba wewe ndio unahatia, bado unaambiwa usinisumbue na pesa mbuzi yako...wabehi.

Some people are very adept at guilt tripping others.

They owe you something but they make you feel bad about getting it back or asking for it even though it is way past due from what they had promised you that they’ll give it back.

A damn shame.

But such is life.
 
Halafu, hebu tuache kujifanya wote ni wema sana humu.

Nina imani hata wazikaji wapo pia.

Tupate basi na ushuhuda wa ulivyomzika mshikaji wako hela zake.

Hahahaaaaa..lets keep it 100 folks.
Mimi shogaangu aliniazima elifu20 lkn baada ya hapo mambo yangu yakawa magumu sana kwakweli hakunielewa ila najua nitamlipatu japo ushoga nikama haupo tena amenichukia
 
Back
Top Bottom