Unapoteza vyote...

Hivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?

Rafiki anakujia na shida zake.

Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.

Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!

Unapoteza rafiki na hela zako!

Malimwengu ya walimwengu hayo.
Huyo rafiki hakuwa rafiki, kwa hiyo hujampoteza, amejionesha tu kwamba hakuwa rafiki.

Na hiyo fedha, ulipotoa, hukutakiwa kutoa kwa minajili ya kuitaka irudi, kama unatoa kusaidia, kubali kwamba hairudi, kama unataka irudi, usisaidie, wekeza kitegauchumi.
 

Siku hizi sikopeshi tena.

Ama nakubali kutoa au nakataa, nasema sina hela.

Anayetaka mkopo aende benki au kwenye ma loan sharks huko.
 
Ndio maana mm formula yangu naendelea kuiamini,bora kusaidia walau kidogo kuliko kukopesha,mf. Rafiki ana shida ya laki amekufata,mwambie tu upo vibaya sana ila mpe kdg mf. 5000/= au hata 10,000/= km ipo na mpe moyo kwamba mpo pamoja kwenye shida yake,hapa utakua umeepusha mgogoro na kupoteza pesa nyingi..
 

Nimeipenda hiyo.

Super big up.
 
Hivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?

Rafiki anakujia na shida zake.

Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.

Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!

Unapoteza rafiki na hela zako!

Malimwengu ya walimwengu hayo.


Kwa Bongo hili ni kawaida sana haswa kwa sasa.
 
Kama ni kunisema siunitumie sms tu, mpaka unisimange huku sijakudhulumi ni vuma tu kiongozi nakumbuka deni lako boss.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Hivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?

Rafiki anakujia na shida zake.

Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.

Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!

Unapoteza rafiki na hela zako!

Malimwengu ya walimwengu hayo.

Ishawahi nitokea.....
 
Hivi, na nyie hii ishawahi kuwatokea?

Rafiki anakujia na shida zake.

Anaomba umkopeshe hela. Unamkopesha.

Bila kujua, mwisho wa siku unaishia kupoteza vyote!

Unapoteza rafiki na hela zako!

Malimwengu ya walimwengu hayo.
hii ipo sana, na ukimnyima unampoteza au anaanza kukusakama
 
Elf 40 tu my friend Doreen mwaka 2009 ushoga umekufa na pesa sijalipwa
Duuh... pole sana dada Raynavero kwa kupoteza rafiki.

mimi ilikuwa ni 15k tangu mwaka 2014 hadi leo mwanangu Paschal hataki kabisa kupokea simu yangu hata kama namtafuta kwa mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…