Unapowaambia wakazi wa mkoa wa Kagera kuhusu gari wanachowaza kwanza

Wasipoota wabonaki. Hiyo ni kwasababu ya unafuu wa vipuli na easy maintenance for that ride.. Under normal circumstances, kila mtu angependa amiliki gari ambalo halitompa shida ktk kuli maintain. Pia hii inasaidia watu wengi wanakuw na uwezo wa kuzimiliki gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…