Unasema bia tamu? Itakuwa hujaonja vitamu wewe!!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Watu wakiambiwa wapige kura kuchagua kati ya kuchakatana na kunywa bia. Mm nitakuwa mmoja wa watu watakao chagua kuchakatana na tutapata ushindi mkubwa sana.

Aliyesema bia tamu akafanye utafiti upya.

Ndiyo maana hata bia ikikolea inamsukuma mtumiaji aende kuchakatana, hii inamaanisha kwamba bia yenyewe inajua kuna vitu vitamu zaidi yake

Usifanye utani na kuchakatana.

 
[emoji3][emoji3][emoji3] huijui serengeti ya baridi kama inatoa jasho hivi ,ukiifungua kama inatoa moshi [emoji3]Na nyama iliyochomwa ! Acha utani mkuu
Pombe ina Mambo mengi sana yanayofanana na mapenzi. Lkn kuna kitu cha ziada kwenye mapenzi nacho ni wivu. Hakunaga wivu kwenye pombe.

Maana yake ni kwamba mapenzi yako juu
 
Pombe ina Mambo mengi sana yanayofanana na mapenzi. Lkn kuna kitu cha ziada kwenye mapenzi nacho ni wivu. Lkn hakunaga wivu kwenye pombe.

Maana yake ni kwamba mapenzi yako juu
Naona umetumia ada mkuu jibu zuri sana hili
 
Kila mtu ana taste zake. Mimi kwangu bia sio tamu wala huko kuchakatana sio kutamu.

Nikikuambia hakuna kitu kitamu kama kusoma vitabu utanishangaa sana ila hiyo ni kwangu mimi. So mkuu kama wewe unaona kuchakatana ndio utamu zaidi chakatana. Anaeona bia ni tamu acha anywe.

Tusipangiane au tusibishane kipi ni bora zaidi ya kingine. Ubora wa kitu unategemea na mtu na mtu. Hatuwezi kuwa sawa.
 
Dunini hapa kuna utamu wa aina mbili tu mkuu. Kunywa pombe na kuchakatana.

Chagua utamu wako Kati ya hizo tamu mbili
 
Usicheze na maku wacha urongooo
 
Sawa mkuu
 
Mi mpenzi wa vitabu pia ila nimekuwa Adicted na Jf achaa tuu.

Vipi vitabu vyako unavyo soma unasoma Online ama...???

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…