Unasema bia tamu? Itakuwa hujaonja vitamu wewe!!

Naunga hoja
 
aisee, unatuvunja nguvu mkuu!!
Mkuuu wanawake wenye makalio makubwa, Mara nyingi wana kua na jasho katikati ya makalio na kati kati ya mapaja.

Jasho kukaa makalion kwa MUDA mrefu na ukichanganya na Chupi hizi za Nailoni ,huishia kutengeneza mazingira mazuri ya Fangasi kukua.

SASA NI MWANAMKE MSAFI TU, NARUDIA, NIMWANAMKE MSAFI TU NDO ATAEPUKANA NA AINA HIYO YA FANGASI.

huo ndo ukweli, nahuenda hata wewe umewah kutana nahilo , kama sio makalio ( wakat wa doggie)... Basi utazikuta mpajan kwa ndani.
 
Kila mtu ana kitamu chake anachokipenda, ukiona kwako kitamu kwa mwingine ni kichungu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…